Restaurant Revitalization Fund Overview (Swahili)
Summary
Swahili-language version of the SBA overview of the Restaurant Revitalization Fund (RRF), form 102. It explains that the American Rescue Plan Act established the RRF to help restaurants and other eligible businesses keep their doors open, with funding equal to their pandemic-related revenue loss that does not have to be repaid if used for eligible purposes. It lists eligible businesses, such as restaurants, food trucks, caterers, bars, breweries and wineries, some of them only if onsite sales to the public make up at least 33% of gross receipts. It explains how to apply through SBA-recognized point-of-sale partners or the online portal at restaurants.sba.gov and where to get help.
Summary drafted by a model from the document's text below and checked by script against that text before publication. It is a navigation aid, not a reading of what the document proves. Where AI is used
Full text
102 - Swahili - Kiswahili
Fedha za Kufufua Mikahawa
Sheria ya Marekani ya Mpango wa Kuokoa (American Rescue Plan Act) iliweka Fedha za Kufufua
Mikahawa ili kutoa fedha za kusaidia mikahawa na biashara nyingine zinazofaa kubaki ikiwa wazi.
Mpango huu unatoa fedha kwa mikahawa sawia na mapato waliyopoteza kwa sababu ya janga hadi
dola milioni 10 kwa kila biashara lakini isiyozidi dola milioni 5 kwa kila eneo halisi. Wapokeaji
hawahitajiki kulipa fedha hizi mradi wazitumie inavyofaa kufikia Machi 11, 2023.
Tembelea www.sba.gov/restaurants kwa habari zaidi.
Ni nani anaweza tuma ombi?
Biashara zinazofaa ambazo zimepoteza mapato kwa sababu ya janga zikiwemo:
o Mikahawa o Maduka ya kuokea mikate*
o Vibanda vya chakula, malori ya kuuza chakula, o Baa ya kutenezea pombe, vyumba vya
mikokoteni ya kuuza chakula kuonja pombe, vyumba vya bomba*
o Wapishi wa vyakula katika sherehe o Viwanda vya kutengenezea pombe na/au
o Vilabu, mabaa, makumbi, migahawa viwanda vidogo vya pombe*
o Baa za kuuza vitafunio na vinywaji visivyo vileo o Viwanda vya divai na mitambo*
o Mahali au majengo yaliyo na leseni ya mtengenezaji wa o Hoteli*
vinywaji vilivyo na vileo ambapo umma inaweza
kuonja, kuchukua sampuli, au kununua bidhaa
*Iwapo mauzo kwa umma inajumuisha angalau 33% ya risiti zote
Jinsi na lini utakavyotuma ombi
Unawezatuma ombi kupitia washirika wa mikahawa halisi ya kuuza inayotambuliwa na SBA au moja kwa moja
kupitia tovuti itakayopatikana katika https://restaurants.sba.gov.
SBA Unaweza kujiandikisha kwa taarifa yetu ya barua pepe kwa www.sba.gov/updates au tafuta akaunti zetu za
mitandao ya kijamii kwa www.sba.gov/social-media.
Nyaraka zaidi zinaweza kuitishwa unapotuma ombi. Angalia orodha kamili kwa www.sba.gov/restaurants.
Pata usaidizi na ombi lako
Kwa usaidizi wa kutayarisha ombi lako, unaweza kutumia yafuatayo:
o Usaidizi wa kituo cha kupiga simu: 1-844-279-8898 (Saa: Jumatatu-Ijumaa 8 asubuhi-8 jioni ET)
o Ofisi ya SBA ya Wilaya yako kwa www.sba.gov/local-assistance
o Sampuli ya fomu ya ombi na mwongozo wa undani kuhusu mpango huu zinapatikana katika kugha
mbalimbali kwa www.sba.gov/restaurants.
File and source
- File
- 2021-04_Restaurant-Revitalization-Fund-Overview_Swahili.pdf
- Size
- 699,636 bytes
- SHA-256
- c3591973fc3c999d4455856497e0cb590483162987e2de48c55d53b391178b10
- Original
- www.sba.gov